Wanachama na wapenzi wa Yanga mkoani Dodoma wamezidi kupaza sauti dhidi ya Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) , Warace Karia kwa maneno yake ya kashfa dhidi ya viongozi wa Yanga baada ya na Bodi ya Ligi kuahirisha derby ya Kariakoo bila kufuata kanuni.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments