HII NDIO MAANA YA UBAYA UBWELA | YANGA IMECHUKUA MAKOMBE YOTE KUANZIA MWAKA 2021 NA KUACHA MOJA TU๐ฅ๐ฅ๐ฅ
๐ฐ...Haya hapa mataji ya Young Africans Sports Club๐ข kuanzia mwaka 2021 mpaka sasa ndani ya Tanzania.
โ Ubingwa wa ngao ya jamii 2021โ
๏ธ
โ Ubingwa wa Ligi kuu 2021/22โ
๏ธ
โ Ubingwa wa kombe kombe la shirikisho TZ 2021/22โ
๏ธ
โ Ubingwa ngao ya jamii 2022โ
๏ธ
โ Ubingwa wa Ligi Kuu 2022/23โ
๏ธ
โ Ubingwa wa kombe la shirikisho TZ 2022/23โ
๏ธ
โ Ngao ya jamii 2023โ๏ธ
โ Ubingwa wa Ligi Kuu 2023/24โ
๏ธ
โ Ubingwa wa kombe la shirikisho TZ 2023/24โ
๏ธ
โ Ubingwa wa ngao ya jamii โ
โ Ubingwa wa Ligi kuu 2024/25 ๐
โ Ubingwa wa Kombe la shirikisho ๐
๐ฐ...Ukiulizwa UBAYA UBWELA ni nini? Waambie ndio huu walioufanya Yanga SC kuanzia 2021 mpaka sasa tunapoukaribia ubingwa mwingine wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Tanzania ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Comments