CHONGOLO ASHIRIKI KUPIGA KURA YA MAONI YA UBUNGE MAKAMBAKO

-Mtia nia wa Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akishiriki kupiga kura za maoni uchaguzi wa ndani wa chama hicho,leo Jumatatu,Agosti 4,2025 katika kata ya Mlowa, jimbo la Makambako mkoani Njombe . Ndugu Chongolo anachuana na aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo hilo Ndugu Deo Kasenyanda Sanga.


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

MAMBO 7 MUHIMU YA KUYAEPUKA BAADA YA KUACHANA...