Debora Mlingo akielezea jinsi wanavyotoa elimu kwa wanafunzi na wageni wengine wanaotembelea Banda la Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) kwenye Maonesho ya Nane Nane ya Kitaifa na Kimataifa katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments