Wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania (UWT), wakiserebuka wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalumu kupitia makundi.
Mkutano huo uliohudhuriwa na zaidi ya wajumbe 900 umefunguliwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Agosti 2, 2025.
Mwenyekiti Chatanda akifungua mkutano huo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, akisimamia mkutano huo wa uchaguzi.
Fatma Karume Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume.
Wajumbe kutoka mikoa mbalimbali.

Baadhi ya wakuu wa mikoa.

Comments