Wanachama wa Umoja wa Wazazi wa CCM wakiserebuka wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Uchaguzi wa wabunge na wawakilishi wa Viti maalumu kupitia Umoja huo.
Mkutano huo uliohudhuriwa na wajumbe 710 na wagombea 33 umefunguliwa na Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara, John Mongella kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Agosti Mosi.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments