Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, akifungua Mkutano wa Kitaifa kati ya Tume na Wazalishaji wa maudhui mtandaoni kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, uliofanyika Agosti 3, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Ramadhani Kailima akizungumza wakati wa kuwasilisha mada katika mkutano wa Tume na Wazalishaji wa maudhui mtandaoni kuhusu uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Mkurugenzi wa Idara ya Habarin na Elimu kwa Umma, Giveness Aswile akitoa neno la utangulizi alipokuwa akimkaribisha Mkurugenzi wa Huduma za Habari wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuelezea
Comments