Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nafasi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilolo,Ndugu Venance Mwamoto mara baada ya kuwahutubia Wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni uliofanyika leo Alhamis Septemba 25,2025 katika uwanja wa Isele, Ilula wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.
𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗠𝗘𝗪𝗔𝗝𝗘𝗡𝗚𝗘𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗞𝗘 𝗠𝗢𝗬𝗢 𝗪𝗔 𝗨𝗝𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗜𝗔𝗠𝗜𝗡𝗜 𝘼𝙢𝙚𝙚𝙡𝙚𝙯𝙖 𝙆𝙖𝙩𝙞𝙗𝙪 𝙈𝙠𝙪𝙪 𝙢𝙨𝙩𝙖𝙖𝙛𝙪 𝙬𝙖 𝘾𝘾𝙈, 𝘿𝙠𝙩. 𝘽𝙖𝙨𝙝𝙞𝙧𝙪 𝘼𝙡𝙡𝙮 "Kwa muda mrefu katika historia ya siasa Duniani kote, nafasi ya mwanamke imekuwa nafasi ya pili kanakwamba utu wake ni nusu..duniani kote ajenda ya kuweka usawa kwa wanaume na wanawake imekuwa mfupa mgumu.." "..CCM kwasababu ya msimamo wetu wa kifalsafa na kiitikadi, usawa wa wanaume na wanawake si suala la hiari ni saula la lazima.." "..katika uongozi wako Rais Dkt. Samia...kitakwimu katika kipindi ulichoingia kama Mkuu wa nchi na Mwenyekiti wa chama (CCM) , kitakwimu angalieni maamuzi, sera, miradi na namna utekelezaji wake ulivyoinua hali za akina Mama.." Dkt. Bashiru ameyasema hayo leo tarehe 9 Septemba 2025 wakati akizungumza na maelfu ya Wananchi wa Singida Mjini waliojitokeza katika uwanja wa Bombadia kumlaki na kumsikiliza Mgombea...
Comments