Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali yake imetenga sh. bil. 1.9 za kununua mitambo itakayosaidia kuondoa magugu maji katika ziwa Jipe wilayani Mwanga Kilimanjaro pamoja na maziwa mengine nchini.
Anebainisha hilo alipokuwa akijinadi katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye Uwanja wa Cleopa Msuya Septemba 30,2025.
Comments