Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) Wiaya ya Ruangwa mkoani Lindi, wakiwa wamebeba ndoo na nyungo katika mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Ruangwa leo Septemba 24, 2025.
Akina mama hao wamesema wamebeba vifaa hivyo ikiwa ni ishara kuja kumjazia kura kura za kishindo Dkt. Samia, wabunge na madiwani wa CCM siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025.
Comments