๐ช๐๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐ ๐๐๐ช๐๐ก๐ ๐ ๐จ๐๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐๐ก๐๐๐ ๐๐ก๐ข - ๐ ๐๐๐ข๐ก๐๐
๐ผ๐จ๐๐ข๐ ๐ฌ๐๐ข๐๐๐ข๐ช๐ ๐ ๐ช๐๐๐๐ก๐๐ ๐๐ฏ๐ ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐ ๐ช๐๐๐๐ฅ๐ ๐ ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ ๐ ๐ช๐๐๐๐๐ช๐ ๐ข๐๐๐ฃ๐๐๐ก๐๐ค ๐๐ฃ๐๐๐ก๐๐ซ๐ช ๐ ๐ช๐ฅ๐๐ฉ๐๐ ๐ข๐๐ค๐ข๐๐๐ ๐๐ง๐๐๐จ ๐ฟ๐ ๐ฉ. ๐๐ผ๐๐๐ผ.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, Ndugu. Paul Makonda, amemueleza Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป kuwa wananchi katika vijiwe mbalimbali alivyovitembelea wamemuhakikishia kuwa tarehe 29 Oktoba 2025 haitakuwa siku ya maandamano, bali siku ya kushiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga kura na wataendelea kuendeleza imani yao kwa chama hicho kwa kumchagua Dkt. Samia katika nafasi ya Urais, Wabunge na Madiwani wote wanaotokana na CCM.
Ndg. Makonda amebainisha hIlo mbele ya kadamnasi ya wananchi wa Shinyanga katika muendelezo wa mikutano ya kampeni za Urais kupitia CCM, leo tarehe 11 Oktoba 2025.
Akieleza imani ya makundi mbalimbali ya watu aliyokutana nayo wakiwemo vijana wa bodaboda, wazee, akina mama lishe na wakulima kwa wafugaji, Ndg. Makonda amesema wananchi wamemueleza kwa dhati kuwa hawana nia ya kushiriki maandamano na kwamba wameamua kutumia haki yao ya kikatiba kwa kupiga kura na kuendelea kudumisha amani ya Taifa letu.
"..Wananchi hawana muda na mjadala wa maandamano, ni vema zaidi kuachana na mjadala huo na kuelekeza nguvu katika ushiriki wa uchaguzi kwa njia ya kidemokrasia."
Aidha, Ndg. Makonda amewaeleza Watanzania dhamira ya dhati ya Dkt. Samia katika utekelezaji wa Ujenzi na Uboreshaji wa bandari mbalimbali nchini ambao umeongeza tija ya ukuaji wa kiuchumi na mwingiliano wa biashara wenye kuleta matokeo chanya katika kukuza na kuinua uchumi wa Watanzania na Taifa kwa ujumla kwa kusema kuwa Dkt. Samia amesaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa gharama zilizokuwa zikitumika awali na kuifungulia Tanzania milango ya uingizaji fedha nyingi kupitia bandari zetu fedha ambazo zimekuwa zikitumika pia katika utekekezaji wa miradi mingine ya kimkakati na kijamii.
Katika kumtakia Afya njema Mgombea Urais Dkt. Samia, Ndg. Makonda ametumia nafasi hiyo kumtakia afya njema na kumuombea Mungu huku akimsihi aendelee kufanya maamuzi yenye kuzingatia maslahi mapana ya Taifa la Tanzania kama afanyavyo sasa.
๐๐จ๐๐๐๐๐๐๐จ๐๐ฌ๐ ๐ฃ๐ ๐ซ๐๐๐๐ข๐๐ฃ๐๐ฃ๐ค ๐ซ๐ฎ๐ ๐ช๐ค๐ฃ๐๐ค ๐ข๐๐ฉ๐๐ฃ๐๐๐ค๐ฃ๐, ๐๐๐๐ง๐๐ ๐ ๐ช๐๐๐๐๐ช๐ฏ๐, ๐ข๐๐๐๐๐ช๐ ๐ฟ๐ ๐ฉ. ๐๐ผ๐๐๐ผ ๐ ๐ฌ๐ ๐ข๐๐๐ฃ๐๐๐ก๐๐ค ๐๐ฃ๐๐๐ก๐๐ซ๐ช ๐ฃ๐ ๐ ๐ช๐๐ฃ๐ช๐ ๐๐ฉ๐ช ๐ฌ๐ ๐ ๐๐ก๐ ๐๐ฉ๐๐ฃ๐ฏ๐๐ฃ๐๐๐๐
#SafariYaCCM
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#Oktoba29Tunatiki๐น๐ฟ✅l
Comments