Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 akiomba dua kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rubambangwe Chato mkoani Geita, leo tarehe 13 Oktoba, 2025.
Dkt. Samia amefika nyumbani hapo mara baada ya kumaliza mkutano wake wa kampeni za Urais uliofanyika Chato mkoani Geita.
Comments