BODA BODA TUKO PAMOJA NA DKT. SAMIA NA OKTOBA 29, TUNATIKI KURA YA NDIYO

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ambaye pia ni Mratibu wa Kampeni za CCM Jijini DSM, Leo tarehe 16 Oktoba, 2025, akutana na Maafisa Usafirishaji (Boda Boda) wa Kata ya Kinyerezi Jimbo la Segerea, Wilaya ya Ilala jijiji DSM, na kuwataka kutofuata maudhui machafu yanayorushwa kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani ambayo hawana nia njema na Taifa la Tanzania, Badala yake wajiamini na kujitokeza kwa wingi kupiga kura ya ndiyo kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kumchagua Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea Bonnah Kamoli, pamoja na Madiwani wote wa Kata ndani ya Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)








 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA