Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi akitoa elimu jinsi ya kumpgia kura Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025. Anayeshuhudia kushoto ni Mgombea, Dkt. Samia.
Elimu hiyo ilitolewa kwa mara ya kwanza katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye Uwanja wa Tabasamu wilayani Sengerema, Mwanza. Oktoba 7, 2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments