Mgombea ubunge wa Viti Maalumu Wanawake Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Wanawake (UWT) wa Mkoa huo, Dkt. Neema Majule akiwa na timu yake katika kampeni za uchaguzi za CCM vijijini Mibuyuni, Chamwino Dodoma.
"Hatuchoki hatupoi tumeamua kupata kura zaidi ya 90% tunaendelea hamasa ya wanawake vijijini ni kubwa mno tumemaliza leo Wilaya ya chamwino tunaelekea Mpwapwa. Kazi na utu tunasonga mbele," amesisitiza DKT. Majule.
Comments