Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani kwa baadhi ya Wagombea Ubunge wa Majimbo ya Mkoa wa Kagera wakati wa Mkutano wa Kampeni za uchaguzi Mkuu leo October 15,2025.

Comments