DKT. SAMIA NI KIONGOZI MWENYE UTU , UNASTAHILI KUPIGIWA KURA OKTOBA 29 - DKT. MCHEMBA

 Waziri wa Fedha, Dkt.Dkt Mwigulu Mchemba amempongeza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Sukuhu Hassan ndani ya uongozi wake wa miaka minne amejenga zaidi ya Vituo vya Afya 600 na Zahanati 2800 nchini.


Pongezi hizo zimetolewa na Dkt. Mchemba alipokaribishwa kutoa salamu katika Mkutano wa Kampeni za mgombea huyo kwenye viwanja vya Azimio Mpanda,

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA