Wanakagera wamejitokeza kwa wingi, kwa shangwe na nderemo, kumlaki Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiongozi shupavu na Injinia wa maendeleo alie waletea maendeleo lukiki ndani ya muda mfupi wa Uongozi wake
Wanasema hawajawahi kuona kasi ya maendeleo kama hii miradi ya miundombinu, huduma za jamii, uwezeshaji wa vijana na wanawake, yote yakiwa ni alama ya uongozi wenye matendo, si maneno.
Comments