Ni shangwe, vigeregere katika mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Bomang'ombe wilayani Hai. Kilimanjaro Oktoba Mosi, 2025.
Pamoja na mambo mengine ameahidi kujenga wilayani Hai, chuo kikubwa Cha Uhasibu CBE Kampasi ya Kilimanjaro.
Comments