MAPOKEZI YA DKT. SAMIA KIBAONI KATAVI



Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa mkutano wa Kampeni, Kibaoni mkoani Katavi tarehe 18 Oktoba, 2025.







 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA