ODINGA AAGA DUNIA

Mtoto wa Makamu wa kwanza wa Rais wa Kenya, aliyesoma Uhandisi Ujerumani kisha akafanya harakati za siasa hadi akafungwa. Jabali la Demokrasia na mtu aliyewania Urais Mara 5 na hakufanikiwa hata mara moja ila akawa Waziri Mkuu. Mzee Raila Odinga amefariki akiwa nchini India.


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA