KAMPENI VISIWANI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, amepiga kampeni yenye mafanikio makubwa kwenye visiwa vitatu:
1. Kisiwa cha Rukuba
Kijiji cha Rukuba, Kata ya Etaro
2. Kisiwa cha Iriga
Kijiji cha Busamba, Kata ya Etaro
3. Kisiwa cha Kagongo
Kijiji cha Bwai Kumsoma, Kata ya Kiriba
Timu ya Kampeni
Jimbo la Musoma Vijijini
Tues, 14 Oct 2025
Comments