Kijana na bibi wakazi wa jiji la Mwanza wakielezea sababu za kumpigia kura Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni za CCM katika Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza Oktoba 7, 2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments