Rais wa Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya uapisho wa mawaziri na manaibu waziri Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 18, 2025 ambapo amewaambia mawaziri hao kwamba wamebeba dhamana ya kazi na si ufahari pia wajue wanawajibika kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
.jpeg)

Comments