AINA YA WANAWAKE AMBAO UNAPASWA KUWAEPUKA HARAKA:


(1) Mwanamke ambaye anazungukwa na wanaume wengi.ambao anawaita marafiki zake..Mara nyingi  wanawake wa namna hii ni waongo na wajanja saana Mara nyingi hao marafiki zake mkizinguana wanakua mbadala wako Kaa mbali na mwanamke wa namna hiii

(2) Mwanamke anaetaka zaidi pesa zako zaidi bila kujali thamani yako..huyu ni Kama chuma ulete au mnyonyaji wape zako epuka kuwa karibu nae

(3) Mwanamke asiefata maagizo, maelekezo . kutoka kwako na kukuonyesha kiburi.huyo anakua hakuheshimu na haoni taabu yoyote kukupoteza kwenye maisha yake kwa sababu mwanamke anayekupenda atakusikiliza

(4) Mwanamke mwenye hasira, chuki na roho mbaya, hata umufanyie nini haridhiki wala hakupi amani..my brother mwanamke wa namna hii atakuhalibia kila kitu kwenye maisha yako

(5) Mwanamke anakudharau Mara kwa mara hafai kuwa katika maisha yako Kaa nae mbali.

(6) Mwanamke anayekuona kama ATM anakupenda ukiwa na pesa lakini moyo wako haumugusi kabisa.ukifilisika nae anapotea kama upepo

(7) Mwanamke yule asie na maono ya maisha.....Hana ndoto, hajui anataka nini.nakila jambo kwake analiacha Bora liende...ukiwa nae utasahau ndoto zako mwenyewe 

(8) Mwanamke anaesikiliza zaidi ushauri wa marafiki, majirani na mitandao kuliko kusikiliza mwanamke wake mwenyewe huyu ni hatari zaidi..hakusikilizi wewe ushauri anaofanyia kazi ni wa marafiki zake na sio wewe 

Mwisho:
Mwanamke anaemchukia mama yako au kumudharau mama yako hawezi kujenga familia yenye heshima Wala madili



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

WALIOCHUKUA FOMU CCM ZA KUWANIA USPIKA HAWA HAPA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

HISTORIA YA MAREHEMU MC PILIPILI