DKT. MAJULE ALONGA MAKUBWA KUHUSU HOTUBA NZURI YA RAIS SAMIA


Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu wa mkoa huo, Dkt. Neema Majule akitoa neno la pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa hotuba nzuri aliyoitoa kwa Taifa kupitia mkutano na wazee wa Mkoa wa Dcar es Salaam Desemba 2, 2025 kwenye Ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam.

Pongezi hizo alizitoa wakati wa Kongamano la Wanawake Tanzania lililokuwa na kauli mbiu ya Mama ni Amani kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Desemba 4, 2025. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

WALIOCHUKUA FOMU CCM ZA KUWANIA USPIKA HAWA HAPA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

HISTORIA YA MAREHEMU MC PILIPILI