FCC YAELEZA ILIVYOJITOSA SAKATA LA UWEKEZAJI SIMBA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Khadija Ngasongwa, akielezea mbele ya vyombo vya habari jijini Dodoma jinsi tume hiyo ilivyolifanyia kazi sakala la uwekezaji katika Klabu ya Simba na kwamba kwa upande wao walishalimaliza tangu mwaka 2023.


Khadija ametoa majibu hayo alipokuwa akielezea mafanikio ya Tume hiyo yaliyopatikana wakati wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Waandishi wa habari wakiwa makini kusikiliza mkutano huo.


 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KILA MWANAMKE ANAPASWA KUFAHAMU HII...

IRAN YAMTANGAZA AYATOLLAH MPYA

MBUNGE DKT. MAJULE ATOA MSAADA WA VYAKULA, VYANDARUA 100 SHULE YA VIZIWI DODOMA

MAMBO MADOGO YANAYOVUTIA KWA MPENZI WAKO

DKT. MAJULE AKABIDHIWA CHETI CHA SHUKRANI UWT DODOMA KUFANIKISHA USHINDI WA CCM 2025

MATUKIO RAIS, AMIRI JESHI MKUU DKT. SAMIA AKIZINDUA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA (MMUT)

WANAOTAZAMWA KUMRITHI AYATOLLAH ALLY KHAMENEI.