Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi Said amezindua rasmi tawi la Guangzhou nchini China likikuwa ndilo tawi la Kwanza kuzinduliwa ndani ya bara la Asia tangu kuanzishwa kwa mfumo wa mabadiliko ndani ya klabu hiyo miaka minne iliyopita.
Yanga SC inakuwa klabu ya kwanza kutoka barani Africa kuwa na wanachama wanaoichangia klabu yao na kufikia hadhi yakuwa tawi ndani ya bara la Asia.



Comments