KISWAGA AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Maji na Mazingira, ambaye pia ni Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga (kushoto) akiongoza kikao cha maandalizi ya Bajeti ya Wizara ya Maji itakayowasilishwa katika Bajeti Kuu ya Serikali inayotarajiwa kufanyika katika Mkutano wa 3 wa Bunge la 13 linaloanza Jumanne Machi 31, 2026 bungeni Dodoma.


Kikao hicho ambacho pia kilihudhuriwa na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (pichani kulia) kimefanyika leo Machi 26, 2026 kwenye Ukumbi wa Philip Marmo bungeni Dodoma.




Mjumbe wa kamati hiyo, Mhandisi Mwanaisha Ulenge akichangia hoja wakati wa kikao hicho.

Sehemu ya maafisa wa wizara hiyo.





IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA- 0754264203



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

IRAN YAMTANGAZA AYATOLLAH MPYA

KWA KHERI MAKARANGA UMEUTIMIZA MWENDO...

KATI YA WATOTO 7 WA HAYATI MAGUFULI ANAYEJULIKANA ZAIDI NI JESCA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KIKOSI KILICHOITWA TAIFA STARS HIKI HAPA

KWA NINI MAASKOFU JANA KWENYE IBADA YA KUMUAGA PENGO WALIVAA MAVAZI MEUPE WAKATI NI MSIBA..?

WANAOTAZAMWA KUMRITHI AYATOLLAH ALLY KHAMENEI.

KIJANA WA KINYAKYUSA WA ENZI HIZO, NUSURA AMCHAPE WAZIRI MUONGO BUNGENI