Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Leo Chatanda ametembelea Ofisi za TRA Wilaya ya Korogwe “Nimejionea jitihada kubwa zinazofanywa kurahisisha huduma kwa wananchi. Nawahimiza wakazi wote wa Korogwe kuendelea kutoa ushirikiano kwa Mamlaka ya Mapato ili tufikie malengo yetu ya kimaendeleo.” leo Tarehe 03 Machi, 2026.
*Kodi yako ndiyo maendeleo ya Korogwe yetu!*




Comments