MWENYEKITI WA UWT TAIFA AMESAINI KITABU CHA WAOMBOLEZAJI MKOANI IRINGA

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amesaini kitabu cha Waombolezaji nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Jimbo la Ismani Marehemu Mhe. William Vangimembe Lukuvi,  Mwili wa Mhe. Lukuvi utawasili leo Mkoani Iringa ukitokea Dar es Salaam baada ya Wananchi wa Dodoma na Dar es Salaam kupata fursa ya kuaga.

Mhe. Lukuvi alifariki Dunia tarehe 25 Machi, 2026 alipokuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya Benjamin Mkapa.








 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

IRAN YAMTANGAZA AYATOLLAH MPYA

KWA KHERI MAKARANGA UMEUTIMIZA MWENDO...

Wasifu wa Kizza Besigye

KATI YA WATOTO 7 WA HAYATI MAGUFULI ANAYEJULIKANA ZAIDI NI JESCA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KIKOSI KILICHOITWA TAIFA STARS HIKI HAPA

KWA NINI MAASKOFU JANA KWENYE IBADA YA KUMUAGA PENGO WALIVAA MAVAZI MEUPE WAKATI NI MSIBA..?

WANAOTAZAMWA KUMRITHI AYATOLLAH ALLY KHAMENEI.

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026