SERIKALI KUJENGA VIWANJA WA WATAZAMAJI 60,000 MWANZA NA MBEYA

“Mwanza hatuwezi kujenga Uwanja wa 30,000 ule ni Mkoa namba Mbili kwa wingi wa Watu kwa hiyo kama tunajenga pale tunapiga kitu cha 60,000 na tumepungua sana 45,000 maana yake tutakuwa na uwanja unaokidhi ufunguzi wa Kombe la dunia na AFCON, tukipiga Mwanza tukaja tukapiga Mbeya imeisha hiyo””

Ni kauli ya  Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia kituo cha Wasafi FM


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

RAIS ALİYEISHI KAMA MUNGU WAKATI WATU WAKE WAKIFA NJAA

ZIJUE TIBA ZA MMEA WA MSHONA NGUO.

CHATANDA ASHIRIKI KIKAO CHA BODI HOSPITALI YA RUFAA DODOMA