Waziri wa Viwada na Biashara Judith Kapinga akizungumza wakati
wa Mkutano Mkuu 2026 wa Jumuiya ya Wafanya Biashara Kariakoo leo Aprili
25,2026.
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza wakati
wa Mkutano Mkuu 2026 wa Jumuiya ya Wafanya Biashara Kariakoo leo Aprili
25,2026 na kuwapongeza wafanya biashara kwa ulipaji mzuri wa kodi
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanya Biashara Kariakoo (JWK) Severini
Mushi akimkabidi Tuzo Waziri wa Viwada na Biashara Judith Kapinga leo Aprili
25,2026. Wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya 2026 uliofanyika Jijini Dar es
Salaam.
Comments