UIMARA, WA CCM, SERIKALI UPO KATIKA UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI - MBUNGE EDIBILY

Mbunge wa Kasulu Kusini, Edibily Kazala akiongea kumkaribisha mhe.Kaspar Mmuya Kaspar Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika mkutano wa hadhara uliofanyika wilaya ya Kasulu tarehe 17/05/2026.

Edibily amesema wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini wanampenda Rais wao Dr. Samia Suluhu Hassan na Chama Cha Mapinduzi. 

Edibily kasisitiza uimara wa chama na hatima ya wawakilishi wa wananchi ipo katika utatuzi wa changamoto za wananchi hasa migogoro ya ardhi kwa jimbo hilo la Kasulu Vijijini.

Edibily ameiomba Serikali kusaidia katika utatuzi wa migogoro ya ardhi ili kuendelea kudumisha imani ya wananchi kwa Serikali yao na Chama



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

TANZIA;.KWA KHERI DADA YETU MPENDWA EDITHA, TASNIA IMEPATA PIGO

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

NATAKA TANZANIA, KENYE NA UGANDA IWE NCHI MOJA, ILI BAHARI YA HINDI IWE YETU SOTE - MUEVENI

RAIS SAMIA AWASILI IRINGA KWENDA MEI MOSI NJOMBE