Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) akiwa na waongoza utalii alipowasili kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 18, 2026 tayari yeye kuingia bungeni kuendelea na Bajeti ya wizara hiyo ambayo inatarajiwa kupitishwa leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas akiwa na waongoza watalii.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264206




Comments