TUMIENI FURSA ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI KUPITIA ELIMU, MAFUNZO NAUWEZESHAJI KIUCHUMI- KIKWETE


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete Akijibu swali la Mhe. Amina Ally Mzee Mbunge wa viti maalum Bungeni Leo 


Amesema "kuwezesha vijana wahitimu wa ngazi mbalimbali za Elimu kuwa na uzoefu wa kazi pamoja na sifa nyingine za kujiajiri ndani na nje ya nchi, Serikali inaendelea na utekelezaji wa Program mbalimbali za mafunzo ya Uzoefu wa kazi ikiwemo Internship, mafunzo ya Uanagenzi na utekelezaji na usimamizi wa maboresho yaliyofanywa ya sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya mwaka 2007 ambayo inatambua na kuhimiza uwezo wa mfumo endelevu wa kuwajengea uwezo vijana na stadi mbalimbali ili waweze kuajilika" - Ridhiwani


Lakini pia Mhe. Ridhiwani ametoa wito kwa wahitimu kutumia fursa zinazotolewa na serikali kupitia program za elimu, Mafunzo na uwezeshaji wa kiuchumi kwa kutoa mikopo na mitaji fursa za ajira rasmi na zisizo rasmi katika miradi ya serikali inayopatikana katika wizara za kisekta na sekta binafsi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

"WANAUME WAPO GEREZANI, KABURINI"

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI