
Mtangazaji Dina Marios (DM) akifanya vitu vyake katika hafla ya Women Balance Kitchen Party Gala Season II, jijini Dar es Salaam. (PICHA NA BLOGU YA JIACHIE))

Wageni waalikwa wakilisakata rhumba katika hafla ya Women Balance Kitchen Party Gala Season II, wakilisakata kwaito jijini Dar es Salaam juzi. (PICHA NA BLOGU YA JIACHIE))

Baadhi ya vimwana vikisikiliza kwa makini

Ilikuwa ni furaha tele siku hiyo

Wageni waalikwa katika hafla ya Women Balance Kitchen Party Gala Season II, wakilisakata kwaito jijini Dar es Salaam. (PICHA NA BLOGU YA JIACHIE))
Comments