HAFLA YA WOMEN BALANCE KITCHEN PARTY YAFANA DAR

Mtangazaji Dina Marios (DM) akifanya vitu vyake katika hafla ya Women Balance Kitchen Party Gala Season II, jijini Dar es Salaam. (PICHA NA BLOGU YA JIACHIE))
Wageni waalikwa wakilisakata rhumba katika hafla ya Women Balance Kitchen Party Gala Season II, wakilisakata kwaito jijini Dar es Salaam juzi. (PICHA NA BLOGU YA JIACHIE))
Baadhi ya vimwana vikisikiliza kwa makini
Ilikuwa ni furaha tele siku hiyo
Wageni waalikwa katika hafla ya Women Balance Kitchen Party Gala Season II, wakilisakata kwaito jijini Dar es Salaam. (PICHA NA BLOGU YA JIACHIE))

Comments

DINA MARIOS said…
NASHUKURU SANA KWA SUPPORT YAKO KATIKA HILI.TUPO PAMOJA.

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA