SILAHA ZA MOTO 228 ZASALIMISHWA KWA HIARI+video

 

 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi , George Simbachawene akitangaza mbele ya vyombo vya habari leo jijini Dodoma kuwa, silaha haramu 228 zimesalimishwa kwa hiari na wananchi katika mikoa mbalimbali nchini.

Msamaha huo wa mwezi mmoja kwa wananchi kuruhusiwa kusalimiasha silaha kwa hiari ulitangazwa Oktoba 31, 2021, umemalizika Novemba 30, ambapo Waziri Simbachawene ametangaza operesheni ya kuwasaka watu wote wanaomiliki silaha isivyo halali na kuwachukulia hatua kali za kisheria
                                        
Baadhi ya makamanda wakiwa katika mkutano huo


Waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano huo

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Simbachawene akitangaza idadi hiyo ya silaha zilizosalimishwa kwa hiari na kuanza kuwasaka wanaomiliki silaha isivyo halali...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA  0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

CHONGOLO AMKUMBUKA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO-

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

RC KIHONGOSI AELEZA MAFANIKIO LUKUKI MKOA ARUSHA