PROF. NDAKIDEMI: TUKIACHA KABISA KINGEREZA KUFUNDISHIA, TUTAPIGWA GOLI KIMATAIFA+video

 Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi akitoa maoni yake katika mkutano wa wabunge kutoa maoni kuhusu maboresho ya sera na mitaala nchini, ameshauri kuwa tusiache kabisa lugha ya kiingereza kufundishia, ama sivyo tutapigwa goli katika medani ya kimataifa.

Aidha, akiendelea kutoa maoni hayo katika mkutano ulioandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia katika Ukumbi wa Msekwa, Bungeni Dodoma Mei 7, 2022, ameshauri kuwa katika maboresho hayo yaongozwe masomo ya ujasiriamali na ubunifu ili kumuandaa mwanafunzi kujiajiri.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Prof. Ndakidemi akitoa maoni yake hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA