WAKURUGENZI SIMBA WAMALIZA TOFAUTI ZAO, WAAHIDI MAZURI MSIMBAZI

  


PICHANI ni Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC baada ya kikao maalum cha kuzungumza na kumaliza tofauti zao ambacho kimekwenda vizuri na wameahidi mambo mazuri yanakuja Msimbazi.
Kutoka kulia ni Jerry Yambi, Adam Mgoyi, Mohamed Nassor, Kassim Dewji, Salum Abdallah, Muslah Ruwayh na Crescentius Magori.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA