Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango akikata utepe kuzindua mitambo ya kuchoronga miamba ya madini iliyonunuliwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) katika hafla wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya shirika hilo kwenye viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Agosti 12, 2022.
Dkt Mapngo akijadiliana jambo na Waziri wa Madini, Doto Biteko.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO, Dkt Venance Mwasse akielezea kuhusu ununuzi wa mitambo hiyo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Comments