RC SENYAMULE ATAMANII DODOMA IWE NA MUONEKANO WA KIMATAIFA+video

 

Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amekutana na Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kujitambulisha leo Agosti 10,2022 ambapo ameomba kushirikiana kuijenga Dodoma yenye muonekano wa Kimataifa kutokana na kuwa ni Makao Makuu ya Nchi.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Godwin Nkanwa akitoa neno la kumkaribisha RC Senyamule na kuahidi CCM mkoa itampatia ushirikiano wa kutosha kuijenga Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM ya Mkoa wakisikiliza kwa makini wakati RC Senyamule akizungumza nao.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, RC Senyamule na viongozi wa CCM Mkoa wa Dodoma wakizungumza...

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

MVUA ZA EL NINO ZINASABABISHWA NA NINI?.

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU