Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
Jiolojia na Utafiti Tanzania (GST), Notka Banteze akizungumza na waandishi wa habari, kwenye
Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dodoma, kuhusu mafanikio na mwelekeo wa
ofisi hiyo ndani ya miaka minne ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita.
Wanahabari wakiwa katika mkutano huo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments