KIKWETE AWASILISHA UJUMBE MAALUMU WA RAIS SAMIA KWA RAIS WA GAMBIA


 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Ikulu ya Gambia, jijini Banjul kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Mhe. Dkt ,Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa Mhe. Adama Barrow, Rais wa Jamhuri ya Gambia.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MWABUKUSI ATOA NENO SIMBA KUSUSIA DERBY DHIDI YA YANGA

HOSPITALI YA MUHIMBILI YAANZISHA HUDUMA YA KISASA YA KUZIBA MAPENGO

MWANAMKE ALIYEVUNJA REKODI KWA KUZAA WATOTO 69

BODI YA LIGI YAKIRI MAKOSA, WAIOMBA YANGA WAYAMALIZE

BODI YA LIGI SASA WAOMBA HEKIMA NA BUSARA ITUMIKE DERBY YA YANGA, SIMBA