UWT KUMUWEKEA MWANASHERIA KIONGOZI WA CHADEMA ALIYEJERUHIWA - CHATANDA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Mary Chatanda akizungumza na vyombo vy habari jijini Dodoma, kutoa tamko la kulaani kitendo cha Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sigrada Mligo kupigwa na kujeruhiwa katika mzozo uliotokea katika kikao cha ndani cha chama hicho mkoani Njombe. Mligo amelazwa katika Hospitali ya Halmashauri Mji Njombe ...

Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Augustino akitoa salamu za mkoa.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dodoma, Neema Majule akitoa salamu za utangulizi za UWT Mkoa.
Baadhi ya makada wa CCM.






Chatanda akizawadiwa kitenge baada mkutano huo kumalizika.


 Chatanda akipongezwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Augustino.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MWABUKUSI ATOA NENO SIMBA KUSUSIA DERBY DHIDI YA YANGA

SERIKALI YALIKUBALI OMBI LA DIAMOND

HOSPITALI YA MUHIMBILI YAANZISHA HUDUMA YA KISASA YA KUZIBA MAPENGO

MWANAMKE ALIYEVUNJA REKODI KWA KUZAA WATOTO 69

ARAJIGA AULA KOMBE LA DUNIA

BODI YA LIGI YAKIRI MAKOSA, WAIOMBA YANGA WAYAMALIZE