Askofu wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God (KAG), Dkt. Evance Chande kusimikwa rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Aprili 19, 2025.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe hiyo maalumu ya kusimikwa Dkt. Chande itakayofanyika katika Kanisa la Karmeli lililopo Ipagala jijini Dodoma.
Sherehe hizo za aina yake zitahudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini na siasa kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi.
Askofu Dkt. Evance Chande.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments