KWA MTU YEYOTE ATAKAYE ONA RAHA, KUNYANYASA, KUDHULUMU, KUCHONGANISAHA WANANCHI, CCM SIYO MAHALA PAKE - DKT. NCHIMBI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Mji wa Mbamba bay, wilayani Nyasa, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Bandari, leo Jumamosi tarehe 5 Aprili 2025, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku tano katika Mkoa wa Ruvuma.
Comments