NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KIGAMBONI

 Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia  September 26,2025 amepokea vifaa tiba viivyotolewa na benki ya NMB ikiwa ni sehemu ya benki hiyo kurudisha sehemu ya faida yake katika Jamii.


DC Dalmia amesema vifaa vilivyotolewa ni pamoja na vitanda vya Wanawake kujifungulia na vitanda vya uchunguzi 20 pamoja na mashine 20 za kusaidia kupumulia kwa Watoto wadogo wenye changamoto.


DC Dalmia ameishukuru benki ya NMB kwa kutoa msaada huo ukiwa na lengo la kusaidia mahitaji mbalimbali ya upatikanaji wa vifaa tiba na kuiunga mkono Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa ya iliyofanya ya ujenzi wa Hospitali ambayo imekua msaada mkubwa kwa Jamii.





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

LEO NI LEO KAMPENI ZA DKT. SAMIA SONGWE

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

CHONGOLO AMKUMBUKA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO-