1. Acha kueleza kila mtu kilakitu.
Watu wengi hawajali, na wengine kwa siri wanataka ufeli.
2. Chagua washkaji zako kwa busara.
Kuwa kati ya watu bora ndiyo njia ya haraka ya kufanikiwa.
3. Usitegemee chochote. Shukuru kwa kila jambo. Kuwa na amani ya ndani, shukuru kwa mambo yote maishani, hata yale madogo kabisa.
4. Fanya kwa uwezo wako wa juu. Amini katika mchakato. Kadiri utakavyofanya kazi kwa bidii ndivyo utakavyozidi kuwa na bahati.
5. Jitawale na kujidhibiti, siyo wengine.
Kuweza kujitawala na kujidhibiti ndipo nguvu yako ya kweli ilipo.
6. Jifunze kuwa mtulivu
Unapoweza kudhibiti hisia zako hakuna anayeweza kukuchezea.
Asante kwa kusoma na kushea 🙏🙏🙏
Comments